Carpentry carpentry and Joinery Department

Historia

Fani ya useremala inayo historia ya pekee sana hapa oysterbay Mwaka 1984 fani ya useremala ili anzishwa ikiwa na wana funzi wa 5 pale Don bosco upanga chini ya mwalimu Elias msenji na mwaka 1986 pia fani ya useremala ilianzishwa hapa oysterbay chini ya mwalimu ambaye pia alikua fratery wa shilika la Wabenedictin kutokansongea . mwalimu kipingi pia alikuwepo kama mwalimu msaidizi fratery huyo aliitwa Bonaventura malibiche huyu ni mtawa mungu amrehemu sasa ni marehem wanafunzi wakati huo walianza 13 wote walikua ni wavulana.Mwaka 1988 Fratery huyo alirudi shilikani huko songea na shule kuwa chini ya Mwalim Pancras kipingi wakishilikiana na mwalimu Patrick hossah kutoka songea pia mwaka 1988 shule ilisajiliwa rasmi kwa jina la oysterbay technical school ikiwa na namba Dsm /103/88 ikiwa chini ya uongozi wa jimbo kuu la Dar
es salaam ikisimamiwa na parokia ya mt petro oysterbay chini ya paroko Jovenalis muba ambaye pia ni marehemu . mwaka 1990 shule hii ilikabidhiwa kwa shirika la mt yohani bosco na fani ya useremala oysterbay na upanga ziliunganishwa pamoja kwa kuihamisha ile
ya upanga kuja hapa oysterbay Mwaka 1991 zilianza rasmi hapa oysrterbay hadi mwaka 1996 kulikua na fani moja tu ya useremala pia jina la shule lili badilishwa na kuitwa Don Bosco oysterbay VTC. Tunamshukuru mungu sana kwani fani ya useremala hapa oysterbay ni mkombozi mkubwa sna ni fani ambayo licha ya kwamba ni shule lakini pia ina fanya
uzalishaji na pia inaingiza kipato . Walimu ambao walio fundisha hii shule ni mwalimu Elias msenji toka 1984 hadi 2008 , mwa Elias hosa toka 1986 hadi 1991 mwalim paneras joseph na kipingi toa toka 1988 ambae bado anaendelea mwalimu Erick j ngonyani tokea 2009 . pia anaendelea mwl marius amata 2015 hadi 2017 mwalimu Andrew(Andreas