Carpentry & Joinery

Duration 3 years Course

Carpentry & Joinery course-Level III Certificate (CBA)
It covers the following skills:
Producing basic woodworking joints, and safely using various hand and power tools.
We welcome people wishing to learn some skills in Carpentry and Joinery, to progress on to become skilled
in their chosen trade, or to progress through an apprenticeship and work towards becoming a master craftsman.
It introduces the learner to Carpentry and Joinery skills. It allows candidates to learn, develop and practice
the skills required for employment and/or career progression in Carpentry or Joinery.

Fani ya useremala inayo historia ya pekee sana hapa oysterbay Mwaka 1984 fani ya
useremala ili anzishwa ikiwa na wana funzi wa 5 pale Don bosco upanga chini ya
mwalimu Elias msenji na mwaka 1986 pia fani ya useremala ilianzishwa hapa oysterbay
chini ya mwalimu ambaye pia alikua fratery wa shilika la Wabenedictin kutokan
songea . mwalimu kipingi pia alikuwepo kama mwalimu msaidizi fratery huyo aliitwa
Bonaventura malibiche huyu ni mtawa mungu amrehemu sasa ni marehem wanafunzi wakati
huo walianza 13 wote walikua ni wavulana.Mwaka 1988 Fratery huyo alirudi shilikani
huko songea na shule kuwa chini ya Mwalim Pancras kipingi wakishilikiana na mwalimu
Patrick hossah kutoka songea pia mwaka 1988 shule ilisajiliwa rasmi kwa jina la oysterbay
technical school ikiwa na namba Dsm /103/88 ikiwa chini ya uongozi wa jimbo kuu la Dar
es salaam ikisimamiwa na parokia ya mt petro oysterbay chini ya paroko Jovenalis muba
ambaye pia ni marehemu . mwaka 1990 shule hii ilikabidhiwa kwa shirika la mt yohani
bosco na fani ya useremala oysterbay na upanga ziliunganishwa pamoja kwa kuihamisha ile
ya upanga kuja hapa oysterbay Mwaka 1991 zilianza rasmi hapa oysrterbay hadi mwaka
1996 kulikua na fani moja tu ya useremala pia jina la shule lili badilishwa na kuitwa Don
Bosco oysterbay VTC. Tunamshukuru mungu sana kwani fani ya useremala hapa oysterbay
ni mkombozi mkubwa sna ni fani ambayo licha ya kwamba ni shule lakini pia ina fanya
uzalishaji na pia inaingiza kipato . Walimu ambao walio fundisha hii shule ni mwalimu Elias
msenji toka 1984 hadi 2008 , mwa Elias hosa toka 1986 hadi 1991 mwalim paneras joseph n
kipingi toa toka 1988 ambae bado anaendelea mwalimu Erick j ngonyani tokea 2009 . pia
anaendelea mwl marius amata 2015 hadi 2017 mwalimu Andrew(Andreas

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *